Karibu

Huu ni mfumo kwa ajili ya kusaidia usimamizi wa shughuli za kanisa.Kwa sasa unakuwezesha kufanya yafuatayo.

  1. Kusajili Waumini/Wakristo pamoja na kutunza taarifa zao
  2. Kutunza kumbukumbu za mapato na matumizi
  3. Uongozi wa juu unaweza kuona taarifa zote za Waumini/Wakristo
  4. Uwezo wa kuchapisha taarifa za Waumini/Wakristo
  5. Kutunza taarifa za michango ya kanisa
  6. Kupanga bajeti ya mapato na matumizi ya kanisa
  7. Kuweka matangazo na matukio muhimu katika kanisa.
  8. Kutuma ujumbe mfupi wa simu kwa Waumini/Wakristo wote, makundi mbalimbali mfano vijana, wanawake, Wanaume nk
  9. Kupata ripoti ya mapato na matumizi ya kanisa.
  10. Kusajili viongozi wa kanisa.Our Partner